Zijue Faida za matumizi ya madafu katika mwili wako.. soma zaidi hapa

Huenda ulikuwa hujui lakini kwa sasa unapaswa kufahamu kuwa maji ya dafu ni muhimu kwa mwili wa binadamu, kwa sababu huimarisha kinga ya mwili.

Lakini unaweza kujiuliza kwa nini maji ya madafu yanapendwa sana na baadhi ya watu. Jibu ni moja tu, licha ya kinywaji hicho kuburudisha na kupunguza hali ya uchovu wa mwili lakini pia kwa wale wenye mning’inio wa pombe (hangover) huwasaidia kuondosha hali hiyo.

Pia, husaidia kuua bacteria wa aina mbalimbali wakiwamo wale wanaosababisha maambukizi kwenye njia ya mkojo yaani UTI.

Wataalamu wa masuala ya lishe wanasema maji ya dafu husaidia pia kupunguza maumivu wakati wa kupata haja ndogo (mkojo).

Pamoja na faida hizo, maji haya huongeza virutubisho vya aina tano na vyote huwa na umuhimu ndani ya mwili wa binadamu.

Virutubisho hivyo ni pamoja na Calcium, magnesium, potassium, phosphorus na sodium, ambavyo ni muhimu katika mwili wa binadamu.

Unywaji wa maji ya madafu mara kwa mara husaidia kupunguza tatizo la msukumo mkubwa wa damu mwilini. Wataalamu wa lishe wanashauri maji hayo yanywewe asubuhi kabla ya kutumia chakula au kinywaji chochote.

Kwa watu wanene, matumizi ya dafu huwasaidia kupunguza uzito na kuwaongezea hamu ya kula kutokana na uasilia wake.

Mbali na watu wanene, pia wataalamu wa lishe wanasema ulaji wa madafu una faida kubwa hata kwa watu wanaocheza michezo mbalimbali, kwani huwasaidia kuwaondolea uchovu na kuwaongezea nguvu wawapo uwanjani.

Hivyo, inashauriwa kila mmoja kutumia dafu kwani lina faida lukuki ndani ya mwili wa binadamu.
Tembelea App yetu kila siku kwa habari moto  moto
Name

Afya Magazeti Makala Mapenzi Matukio Michezo News Siasa Udaku Urembo Wasanii
false
ltr
item
www.yanayojiri.com: Zijue Faida za matumizi ya madafu katika mwili wako.. soma zaidi hapa
Zijue Faida za matumizi ya madafu katika mwili wako.. soma zaidi hapa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9BpKn1esWb94hh6jo077W3FWPlWg_rSbNsWaOnmasg0-kDiD2SV4P8y4TBfxzYH1dtFonXaDVbr6SjFOJOQcdK5NBm5VdQF_eujyWCXHXV5WW3_YziGTPxAMmt2zFnaBmIZz-J9GizI2k/s640/x12417748_1680439122229883_1259917228105784146_n-750x375.jpg.pagespeed.ic.Vi0kOKZz-z.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj9BpKn1esWb94hh6jo077W3FWPlWg_rSbNsWaOnmasg0-kDiD2SV4P8y4TBfxzYH1dtFonXaDVbr6SjFOJOQcdK5NBm5VdQF_eujyWCXHXV5WW3_YziGTPxAMmt2zFnaBmIZz-J9GizI2k/s72-c/x12417748_1680439122229883_1259917228105784146_n-750x375.jpg.pagespeed.ic.Vi0kOKZz-z.jpg
www.yanayojiri.com
https://nipasheapp.blogspot.com/2018/02/zijue-faida-za-matumizi-ya-madafu.html
https://nipasheapp.blogspot.com/
http://nipasheapp.blogspot.com/
http://nipasheapp.blogspot.com/2018/02/zijue-faida-za-matumizi-ya-madafu.html
true
3144336648072757917
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy
© Copyright www.yanayojiri.com | Designed By Me